Uwongozi wa Shule ya Sekondari ya Majohe Iliyopo Dar es Salaam, manisipa ya Ilala yenye usajili namba S.2407
INAWATANGAZIYA WAZIZI NA WALEZI NAFASI ZA MASOMO KWA KIDATO CHA KWANZA (FORM I) NATUNAZO NAFASI CHACHE ZA WANAWO HAMIYA WA KIDATO CHA 2,3, 4
SHULE INAFUNDISHA MASOMO YA SAYANSI, SANA, BIYASHARA NA KOMPUTA
SHULE INA MAHABARA KWAAJILI YA MASOMO YA SAYANSI SHULE INA WALIMU WAZULI WALIYO BOBEYA KATIKA UFUNDISHAJI NA MALEZI YA WANA FUNZI.
PIA SHULE INA KITUO CHA WANAORUDIA MIHANI WA KIDATO CHA NNE (Re-stars) NA QT
FOMU ZAKUJIUNGA ZINAPATIKANA SHULENI MAJOHE KWANZIA SASA, MTIHANI WAKUJIUNGA UTAFANYIKA TAREHE ZIFYATAZO
01/12/2012, 08/12/2012, 15/12/2012,/ 22/12/2012 NA 27/12/2012
SHULE ITAFUNGULIWA RASIME KIMASOMO TAREHE 02/01/213