MAJOHE SECONDARY SCHOOL / TANZANIA
SHULE IPO DAR ES SALAM/ TANZANIA ENEO LA MAJOHE WILAYA YA ILALA NAMBA YA USAJILI S.2407 SIMU NAMBA +255719336303/ +255755099031
MAZINGIRA YA SHULE YETU
- WANANFUZI WAKIWA WAKIPIGA PICHA YA PAMOJA SHULENI
- Wanafunzi wetu wakiwa wamejipanga vizuri katika majengo yetu ya shule, hawo ni bahadhi ya wanafunzi wakiwa wameshanganikana, shule yetu ina jali sana wanafunzi kwakua patia elimu iliyo bora kabisa na kuwafandisha tabita nzuri na mahadiri bora.
- Hapo walikiwa wamepigwa picha ya pamoja wakati wamemaliza kufanya mtahani wakufunga muhura wakwanza.
- Hapa wanafunzi walikua nafuraha sana unaweza kuona.
MUDA WA MAPUMZIKO WANAFUNZI WAKIWA INJE-BREAK TIME
Angalia wanafunzi wakiwa wanatoka madalasani muda wa mapunziko wanafunzi wetu wanapendana sana . unaweza kuona wengine wakiwa wakigawana wakiwa kwenye sale ya shule safi kabisa, Angalia pia mazingira yetu ya shule jinsi yalivyo yanapendeza zaidi. mazingira yakiwa mazuri husababisha hali yahewa kua nzuri hali hiyo ndio ilivyo shuleni kwetu wanafunzi mda wa mapunziko kufurahiya wakiwa shuleni nakufanya vizuri katika mtihani.
MUDA WA MAPUMZIKO WANAFUNZI WAKIWA INJE-BREAK TIME
Wanafunzi wakiwa wakipita karibu na jengo la ofisi za mkuu wa shule
Hiyo picha ilikua mda wa mapunziko bahada ya wafunzi kupata masomo.
Waweza kuona miti iliuvopandwa yote hayo nikwaajili ya kutunza mazingira.
Je mwanao anasoma katika mazingira gani?
WANAFUNZI WAKIWA NDANI YA CHUMBA CHA MAHABARA
Wanafunzi wa kitado cha kwanza wakiwa katika mahabara wakijifunza kwa vitendo. Ili wanafunzi wa fanye vizuri masomo ya Sayansi nabidi wafundishwe kwa vitendo, na ndio mahana shule ya Sekondari Majohe ina mahabara iliyo bora na yakisasa zaidi ambaye ina kila kitu. Yote hayo nikuwa wanda wana funzi wetu kuelewa vizuri masomo ya sayansi

MWALIMU AKIWA NDANI YA MAHABARA NA WANAFUNZI KATIKA SOMO
Wanafunzi wa kitado cha kwanza wakiwa katika mahabara wakijifunza kwa vitendo. Ili wanafunzi wa fanye vizuri masomo ya Sayansi nabidi wafundishwe kwa vitendo, na ndio mahana shule ya Sekondari Majohe ina mahabara iliyo bora na yakisasa zaidi ambaye ina kila kitu. Yote hayo nikuwa wanda wana funzi wetu kuelewa vizuri masomo ya sayansi
TANGAZO
Uwongozi wa Shule ya Sekondari ya Majohe Iliyopo Dar es Salaam, manisipa ya Ilala yenye usajili namba S.2407
INAWATANGAZIYA WAZIZI NA WALEZI NAFASI ZA MASOMO KWA KIDATO CHA KWANZA (FORM I) NATUNAZO NAFASI CHACHE ZA WANAWO HAMIYA WA KIDATO CHA 2,3, 4
SHULE INAFUNDISHA MASOMO YA SAYANSI, SANA, BIYASHARA NA KOMPUTA
SHULE INA MAHABARA KWAAJILI YA MASOMO YA SAYANSI SHULE INA WALIMU WAZULI WALIYO BOBEYA KATIKA UFUNDISHAJI NA MALEZI YA WANA FUNZI.
PIA SHULE INA KITUO CHA WANAORUDIA MIHANI WA KIDATO CHA NNE (Re-stars) NA QT
FOMU ZAKUJIUNGA ZINAPATIKANA SHULENI MAJOHE KWANZIA SASA, MTIHANI WAKUJIUNGA UTAFANYIKA TAREHE ZIFYATAZO
01/12/2012, 08/12/2012, 15/12/2012,/ 22/12/2012 NA 27/12/2012
SHULE ITAFUNGULIWA RASIME KIMASOMO TAREHE 02/01/213
Subscribe to:
Posts (Atom)